Sunday, October 23, 2011

KANISA KONGWE MKOANI MBEYA, LINA MIAKA ZAIDI YA 100.

Hili ni Kanisa la Parokia ya Galula, lililopo Wilayani Chunya, Mkoani Mbeya. kanisa hili ni la pili kwa kuwa na umri mkubwa Jimboni Mbeya, lina miaka 102. Kanisa la kwanza kwa umri mkubwa katika Jimbo Katoliki Mbeya.....ni Kanisa la Parokia ya Mkulwe, lililopo Wilayani Mbozi.

- Picha na maelezo na; Albano Midelo.

No comments:

WATEMBELEAJI